Zaburi 78:66
Psalms 78:66 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliwapiga na kuwashinda adui zake, akawatia katika aibu ya milele.
Psalms 78:66 in English
Psalms 78:66 · Berean Standard Bible
He beat back His foes; He put them to everlasting shame.
Context
64makuhani wao waliuawa kwa upanga,
wala wajane wao hawakuweza kulia. 65Ndipo Bwana alipoamka kama vile kuamka usingizini,
kama vile mtu aamkavyo kutoka kwenye bumbuazi la mvinyo. 66Aliwapiga na kuwashinda adui zake,
akawatia katika aibu ya milele. 67Ndipo alipozikataa hema za Yosefu,
hakulichagua kabila la Efraimu, 68lakini alilichagua kabila la Yuda,
Mlima Sayuni, ambao aliupenda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.