Native Bible

Psalms 78:61 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akalipeleka Sanduku la nguvu zake utumwani, utukufu wake mikononi mwa adui.

Psalms 78:61 in English

Psalms 78:61 · Berean Standard Bible

He delivered His strength to captivity, and His splendor to the hand of the adversary.

Context

59Wakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana, akamkataa Israeli kabisa. 60Akaiacha hema ya Shilo, hema aliyokuwa ameiweka katikati ya wanadamu. 61Akalipeleka Sanduku la nguvu zake utumwani, utukufu wake mikononi mwa adui. 62Aliachia watu wake wauawe kwa upanga, akaukasirikia sana urithi wake. 63Moto uliwaangamiza vijana wao, na wanawali wao hawakuimbiwa nyimbo za arusi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.