Native Bible

Psalms 78:60 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akaiacha hema ya Shilo, hema aliyokuwa ameiweka katikati ya wanadamu.

Psalms 78:60 in English

Psalms 78:60 · Berean Standard Bible

He abandoned the tabernacle of Shiloh, the tent He had pitched among men.

Context

58Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu, wakachochea wivu wake kwa sanamu zao. 59Wakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana, akamkataa Israeli kabisa. 60Akaiacha hema ya Shilo, hema aliyokuwa ameiweka katikati ya wanadamu. 61Akalipeleka Sanduku la nguvu zake utumwani, utukufu wake mikononi mwa adui. 62Aliachia watu wake wauawe kwa upanga, akaukasirikia sana urithi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.