Native Bible

Psalms 78:58 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu, wakachochea wivu wake kwa sanamu zao.

Psalms 78:58 in English

Psalms 78:58 · Berean Standard Bible

They enraged Him with their high places and provoked His jealousy with their idols.

Context

56Lakini wao walimjaribu Mungu, na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana, wala hawakuzishika sheria zake. 57Kama baba zao, hawakuwa thabiti wala waaminifu, wakawa wasioweza kutegemewa kama upinde wenye kasoro. 58Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu, wakachochea wivu wake kwa sanamu zao. 59Wakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana, akamkataa Israeli kabisa. 60Akaiacha hema ya Shilo, hema aliyokuwa ameiweka katikati ya wanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.