Zaburi 78:57
Psalms 78:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama baba zao, hawakuwa thabiti wala waaminifu, wakawa wasioweza kutegemewa kama upinde wenye kasoro.
Psalms 78:57 in English
Psalms 78:57 · Berean Standard Bible
They turned back and were faithless like their fathers, twisted like a faulty bow.
Context
55Aliyafukuza mataifa mbele yao,
na kuwagawia nchi zao kama urithi,
aliwakalisha makabila ya Israeli katika makao yao. 56Lakini wao walimjaribu Mungu,
na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana,
wala hawakuzishika sheria zake. 57Kama baba zao, hawakuwa thabiti wala waaminifu,
wakawa wasioweza kutegemewa
kama upinde wenye kasoro. 58Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu,
wakachochea wivu wake kwa sanamu zao. 59Wakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana,
akamkataa Israeli kabisa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.