Native Bible

Psalms 78:59 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana, akamkataa Israeli kabisa.

Psalms 78:59 in English

Psalms 78:59 · Berean Standard Bible

On hearing it, God was furious and rejected Israel completely.

Context

57Kama baba zao, hawakuwa thabiti wala waaminifu, wakawa wasioweza kutegemewa kama upinde wenye kasoro. 58Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu, wakachochea wivu wake kwa sanamu zao. 59Wakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana, akamkataa Israeli kabisa. 60Akaiacha hema ya Shilo, hema aliyokuwa ameiweka katikati ya wanadamu. 61Akalipeleka Sanduku la nguvu zake utumwani, utukufu wake mikononi mwa adui.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.