Native Bible

Psalms 73:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unaniongoza kwa shauri lako, hatimaye utaniingiza katika utukufu.

Psalms 73:24 in English

Psalms 73:24 · Berean Standard Bible

You guide me with Your counsel, and later receive me in glory.

Context

22nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa mnyama mkatili mbele yako. 23Hata hivyo niko pamoja nawe siku zote, umenishika mkono wangu wa kuume. 24Unaniongoza kwa shauri lako, hatimaye utaniingiza katika utukufu. 25Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe. 26Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu na fungu langu milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.