Native Bible

Psalms 73:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu na fungu langu milele.

Psalms 73:26 in English

Psalms 73:26 · Berean Standard Bible

My flesh and my heart may fail, but God is the strength * of my heart and my portion forever.

Context

24Unaniongoza kwa shauri lako, hatimaye utaniingiza katika utukufu. 25Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe. 26Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu na fungu langu milele. 27Wale walio mbali nawe wataangamia, unawaangamiza wote wasio waaminifu kwako. 28Lakini kwangu mimi, ni vyema kuwa karibu na Mungu. Nimemfanya Bwana Mwenyezi kimbilio langu; nami nitayasimulia matendo yako yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.