Zaburi 73:25
Psalms 73:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe.
Psalms 73:25 in English
Psalms 73:25 · Berean Standard Bible
Whom have I in heaven but You? And on earth I desire no one besides You.
Context
23Hata hivyo niko pamoja nawe siku zote,
umenishika mkono wangu wa kuume. 24Unaniongoza kwa shauri lako,
hatimaye utaniingiza katika utukufu. 25Nani niliye naye mbinguni ila wewe?
Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe. 26Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa,
bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu
na fungu langu milele. 27Wale walio mbali nawe wataangamia,
unawaangamiza wote wasio waaminifu kwako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.