Native Bible

Psalms 73:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo niko pamoja nawe siku zote, umenishika mkono wangu wa kuume.

Psalms 73:23 in English

Psalms 73:23 · Berean Standard Bible

Yet I am always with You; You hold my right hand.

Context

21Wakati moyo wangu ulipohuzunishwa, na roho yangu ilipotiwa uchungu, 22nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa mnyama mkatili mbele yako. 23Hata hivyo niko pamoja nawe siku zote, umenishika mkono wangu wa kuume. 24Unaniongoza kwa shauri lako, hatimaye utaniingiza katika utukufu. 25Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.