Zaburi 73:21
Psalms 73:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati moyo wangu ulipohuzunishwa, na roho yangu ilipotiwa uchungu,
Psalms 73:21 in English
Psalms 73:21 · Berean Standard Bible
When my heart was grieved and I was pierced within,
Context
19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula,
wanatoweshwa kabisa na vitisho! 20Kama ndoto mtu aamkapo,
hivyo wakati uinukapo, Ee Bwana,
utawatowesha kama ndoto. 21Wakati moyo wangu ulipohuzunishwa,
na roho yangu ilipotiwa uchungu, 22nilikuwa mpumbavu na mjinga,
nilikuwa mnyama mkatili mbele yako. 23Hata hivyo niko pamoja nawe siku zote,
umenishika mkono wangu wa kuume.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.