Zaburi 73:27
Psalms 73:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale walio mbali nawe wataangamia, unawaangamiza wote wasio waaminifu kwako.
Psalms 73:27 in English
Psalms 73:27 · Berean Standard Bible
Those far from You will surely perish; You destroy all who are unfaithful to You.
Context
25Nani niliye naye mbinguni ila wewe?
Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe. 26Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa,
bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu
na fungu langu milele. 27Wale walio mbali nawe wataangamia,
unawaangamiza wote wasio waaminifu kwako. 28Lakini kwangu mimi,
ni vyema kuwa karibu na Mungu.
Nimemfanya Bwana Mwenyezi kimbilio langu;
nami nitayasimulia matendo yako yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.