Native Bible

Psalms 73:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kwangu mimi, ni vyema kuwa karibu na Mungu. Nimemfanya Bwana Mwenyezi kimbilio langu; nami nitayasimulia matendo yako yote.

Psalms 73:28 in English

Psalms 73:28 · Berean Standard Bible

But as for me, it is good to draw near to God. I have made the Lord GOD my refuge, that I may proclaim all Your works.

Context

26Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu na fungu langu milele. 27Wale walio mbali nawe wataangamia, unawaangamiza wote wasio waaminifu kwako. 28Lakini kwangu mimi, ni vyema kuwa karibu na Mungu. Nimemfanya Bwana Mwenyezi kimbilio langu; nami nitayasimulia matendo yako yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.