Native Bible

Psalms 72:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafalme wote watamsujudia na mataifa yote yatamtumikia.

Psalms 72:11 in English

Psalms 72:11 · Berean Standard Bible

May all kings bow down to him and all nations serve him.

Context

9Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi. 10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali watamletea kodi; wafalme wa Sheba na Seba watampa zawadi. 11Wafalme wote watamsujudia na mataifa yote yatamtumikia. 12Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia, aliyeonewa asiye na wa kumsaidia. 13Atawahurumia wanyonge na wahitaji na kuwaokoa wahitaji kutoka mauti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.