Zaburi 72:12
Psalms 72:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia, aliyeonewa asiye na wa kumsaidia.
Psalms 72:12 in English
Psalms 72:12 · Berean Standard Bible
For he will deliver the needy who cry out and the afflicted who have no helper.
Context
10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali
watamletea kodi;
wafalme wa Sheba na Seba
watampa zawadi. 11Wafalme wote watamsujudia
na mataifa yote yatamtumikia. 12Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia,
aliyeonewa asiye na wa kumsaidia. 13Atawahurumia wanyonge na wahitaji
na kuwaokoa wahitaji kutoka mauti. 14Atawaokoa kutoka uonevu na ukatili,
kwani damu yao ni ya thamani machoni pake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.