Native Bible

Psalms 72:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali watamletea kodi; wafalme wa Sheba na Seba watampa zawadi.

Psalms 72:10 in English

Psalms 72:10 · Berean Standard Bible

May the kings of Tarshish and distant shores bring tribute; may the kings of Sheba and Seba offer gifts.

Context

8Atatawala kutoka bahari hadi bahari na kutoka Mto* mpaka miisho ya dunia. 9Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi. 10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali watamletea kodi; wafalme wa Sheba na Seba watampa zawadi. 11Wafalme wote watamsujudia na mataifa yote yatamtumikia. 12Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia, aliyeonewa asiye na wa kumsaidia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.