Native Bible

Psalms 72:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi.

Psalms 72:9 in English

Psalms 72:9 · Berean Standard Bible

May the nomads bow before him, and his enemies lick the dust.

Context

7Katika siku zake wenye haki watastawi; mafanikio yatakuwepo mpaka mwezi utakapokoma. 8Atatawala kutoka bahari hadi bahari na kutoka Mto* mpaka miisho ya dunia. 9Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi. 10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali watamletea kodi; wafalme wa Sheba na Seba watampa zawadi. 11Wafalme wote watamsujudia na mataifa yote yatamtumikia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.