Native Bible

Psalms 72:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atawahurumia wanyonge na wahitaji na kuwaokoa wahitaji kutoka mauti.

Psalms 72:13 in English

Psalms 72:13 · Berean Standard Bible

He will take pity on the poor and needy and save the lives of the oppressed.

Context

11Wafalme wote watamsujudia na mataifa yote yatamtumikia. 12Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia, aliyeonewa asiye na wa kumsaidia. 13Atawahurumia wanyonge na wahitaji na kuwaokoa wahitaji kutoka mauti. 14Atawaokoa kutoka uonevu na ukatili, kwani damu yao ni ya thamani machoni pake. 15Aishi maisha marefu! Na apewe dhahabu ya Sheba. Watu wamwombee daima na kumbariki mchana kutwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.