Native Bible

Psalms 69:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninazama kwenye vilindi vya matope, pasipo mahali pa kukanyaga, Nimefika kwenye maji makuu, mafuriko yamenigharikisha.

Psalms 69:2 in English

Psalms 69:2 · Berean Standard Bible

I have sunk into the miry depths, where there is no footing; I have drifted into deep waters, where the flood engulfs me.

Context

1Ee Mungu, niokoe, kwa maana maji yamenifika shingoni. 2Ninazama kwenye vilindi vya matope, pasipo mahali pa kukanyaga, Nimefika kwenye maji makuu, mafuriko yamenigharikisha. 3Nimechoka kwa kuomba msaada, koo langu limekauka. Macho yangu yanafifia, nikimtafuta Mungu wangu. 4Wale wanaonichukia bila sababu ni wengi kuliko nywele za kichwa changu; wengi ni adui kwangu bila sababu, wale wanaotafuta kuniangamiza. Ninalazimishwa kurudisha kitu ambacho sikuiba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.