Native Bible

Psalms 69:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, niokoe, kwa maana maji yamenifika shingoni.

Psalms 69:1 in English

Psalms 69:1 · Berean Standard Bible

Save me, O God, for the waters are up to my neck.

Context

1Ee Mungu, niokoe, kwa maana maji yamenifika shingoni. 2Ninazama kwenye vilindi vya matope, pasipo mahali pa kukanyaga, Nimefika kwenye maji makuu, mafuriko yamenigharikisha. 3Nimechoka kwa kuomba msaada, koo langu limekauka. Macho yangu yanafifia, nikimtafuta Mungu wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.