Native Bible

Psalms 68:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wajumbe watakuja kutoka Misri, Kushi* atajisalimisha kwa Mungu.

Psalms 68:31 in English

Psalms 68:31 · Berean Standard Bible

Envoys will arrive from Egypt; Cush * will stretch out her hands to God.

Context

29Kwa sababu ya Hekalu lako Yerusalemu wafalme watakuletea zawadi. 30Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi, kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa. Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea. Tawanya mataifa yapendayo vita. 31Wajumbe watakuja kutoka Misri, Kushi* atajisalimisha kwa Mungu. 32Mwimbieni Mungu, enyi falme za dunia, mwimbieni Bwana sifa, 33mwimbieni sifa yeye apandaye mbingu za kale zilizo juu, yeye angurumaye kwa sauti kuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.