Native Bible

Psalms 68:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi, kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa. Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea. Tawanya mataifa yapendayo vita.

Psalms 68:30 in English

Psalms 68:30 · Berean Standard Bible

Rebuke the beast in the reeds, the herd of bulls among the calves of the nations, until it submits, bringing bars of silver. Scatter the nations who delight in war.

Context

28Ee Mungu, amuru uwezo wako, Ee Mungu tuonyeshe nguvu zako, kama ulivyofanya hapo awali. 29Kwa sababu ya Hekalu lako Yerusalemu wafalme watakuletea zawadi. 30Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi, kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa. Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea. Tawanya mataifa yapendayo vita. 31Wajumbe watakuja kutoka Misri, Kushi* atajisalimisha kwa Mungu. 32Mwimbieni Mungu, enyi falme za dunia, mwimbieni Bwana sifa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.