Native Bible

Psalms 68:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, amuru uwezo wako, Ee Mungu tuonyeshe nguvu zako, kama ulivyofanya hapo awali.

Psalms 68:28 in English

Psalms 68:28 · Berean Standard Bible

Summon Your power, O God;* show Your strength, O God, which You have exerted on our behalf.

Context

26Msifuni Mungu katika kusanyiko kubwa, msifuni Bwana katika kusanyiko la Israeli. 27Liko kabila dogo la Benyamini likiwaongoza, wakifuatwa na kundi kubwa la watawala wa Yuda, hatimaye watawala wa Zabuloni na Naftali. 28Ee Mungu, amuru uwezo wako, Ee Mungu tuonyeshe nguvu zako, kama ulivyofanya hapo awali. 29Kwa sababu ya Hekalu lako Yerusalemu wafalme watakuletea zawadi. 30Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi, kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa. Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea. Tawanya mataifa yapendayo vita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.