Native Bible

Psalms 68:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa sababu ya Hekalu lako Yerusalemu wafalme watakuletea zawadi.

Psalms 68:29 in English

Psalms 68:29 · Berean Standard Bible

Because of Your temple at Jerusalem kings will bring You gifts.

Context

27Liko kabila dogo la Benyamini likiwaongoza, wakifuatwa na kundi kubwa la watawala wa Yuda, hatimaye watawala wa Zabuloni na Naftali. 28Ee Mungu, amuru uwezo wako, Ee Mungu tuonyeshe nguvu zako, kama ulivyofanya hapo awali. 29Kwa sababu ya Hekalu lako Yerusalemu wafalme watakuletea zawadi. 30Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi, kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa. Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea. Tawanya mataifa yapendayo vita. 31Wajumbe watakuja kutoka Misri, Kushi* atajisalimisha kwa Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.