Zaburi 68:32
Psalms 68:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwimbieni Mungu, enyi falme za dunia, mwimbieni Bwana sifa,
Psalms 68:32 in English
Psalms 68:32 · Berean Standard Bible
Sing to God, O kingdoms of the earth; sing praises to the Lord— Selah
Context
30Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi,
kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa.
Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea.
Tawanya mataifa yapendayo vita. 31Wajumbe watakuja kutoka Misri,
Kushi* atajisalimisha kwa Mungu. 32Mwimbieni Mungu, enyi falme za dunia,
mwimbieni Bwana sifa, 33mwimbieni sifa yeye apandaye mbingu za kale zilizo juu,
yeye angurumaye kwa sauti kuu. 34Tangazeni uwezo wa Mungu,
ambaye fahari yake iko juu ya Israeli,
ambaye uwezo wake uko katika anga.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.