Zaburi 66:9
Psalms 66:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ameyahifadhi maisha yetu na kuizuia miguu yetu kuteleza.
Psalms 66:9 in English
Psalms 66:9 · Berean Standard Bible
He preserves our lives and keeps our feet from slipping.
Context
7Yeye hutawala kwa uwezo wake milele,
macho yake huangalia mataifa yote:
waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake. 8Enyi mataifa, msifuni Mungu wetu,
sauti ya sifa yake isikike, 9ameyahifadhi maisha yetu
na kuizuia miguu yetu kuteleza. 10Ee Mungu, wewe ulitujaribu,
ukatusafisha kama fedha. 11Umetuingiza kwenye nyavu
na umetubebesha mizigo mizito
migongoni mwetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.