Native Bible

Psalms 66:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, wewe ulitujaribu, ukatusafisha kama fedha.

Psalms 66:10 in English

Psalms 66:10 · Berean Standard Bible

For You, O God, have tested us; You have refined us like silver.

Context

8Enyi mataifa, msifuni Mungu wetu, sauti ya sifa yake isikike, 9ameyahifadhi maisha yetu na kuizuia miguu yetu kuteleza. 10Ee Mungu, wewe ulitujaribu, ukatusafisha kama fedha. 11Umetuingiza kwenye nyavu na umetubebesha mizigo mizito migongoni mwetu. 12Uliwaruhusu watu watukalie vichwani, tulipita kwenye moto na kwenye maji, lakini ulituleta kwenye nchi iliyojaa utajiri tele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.