Zaburi 66:11
Psalms 66:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umetuingiza kwenye nyavu na umetubebesha mizigo mizito migongoni mwetu.
Psalms 66:11 in English
Psalms 66:11 · Berean Standard Bible
You led us into the net; You laid burdens on our backs.
Context
9ameyahifadhi maisha yetu
na kuizuia miguu yetu kuteleza. 10Ee Mungu, wewe ulitujaribu,
ukatusafisha kama fedha. 11Umetuingiza kwenye nyavu
na umetubebesha mizigo mizito
migongoni mwetu. 12Uliwaruhusu watu watukalie vichwani,
tulipita kwenye moto na kwenye maji,
lakini ulituleta kwenye nchi
iliyojaa utajiri tele. 13Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa
na kukutimizia nadhiri zangu:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.