Native Bible

Psalms 66:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa na kukutimizia nadhiri zangu:

Psalms 66:13 in English

Psalms 66:13 · Berean Standard Bible

I will enter Your house with burnt offerings; I will fulfill my vows to You—

Context

11Umetuingiza kwenye nyavu na umetubebesha mizigo mizito migongoni mwetu. 12Uliwaruhusu watu watukalie vichwani, tulipita kwenye moto na kwenye maji, lakini ulituleta kwenye nchi iliyojaa utajiri tele. 13Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa na kukutimizia nadhiri zangu: 14nadhiri ambazo midomo yangu iliahidi na nilizotamka kwa kinywa changu nilipokuwa katika shida. 15Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono na sadaka za kondoo dume, nitakutolea mafahali na mbuzi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.