Zaburi 66:15
Psalms 66:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono na sadaka za kondoo dume, nitakutolea mafahali na mbuzi.
Psalms 66:15 in English
Psalms 66:15 · Berean Standard Bible
I will offer You fatlings as burnt offerings, with the fragrant smoke of rams; I will offer bulls and goats. Selah
Context
13Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa
na kukutimizia nadhiri zangu: 14nadhiri ambazo midomo yangu iliahidi
na nilizotamka kwa kinywa changu
nilipokuwa katika shida. 15Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono
na sadaka za kondoo dume,
nitakutolea mafahali na mbuzi. 16Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu,
nami niwaambie aliyonitendea. 17Nilimlilia kwa kinywa changu,
sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.