Zaburi 66:17
Psalms 66:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nilimlilia kwa kinywa changu, sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu.
Psalms 66:17 in English
Psalms 66:17 · Berean Standard Bible
I cried out to Him with my mouth and praised Him with my tongue.*
Context
15Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono
na sadaka za kondoo dume,
nitakutolea mafahali na mbuzi. 16Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu,
nami niwaambie aliyonitendea. 17Nilimlilia kwa kinywa changu,
sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu. 18Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu,
Bwana asingekuwa amenisikiliza; 19lakini hakika Mungu amenisikiliza
na amesikia sauti yangu katika maombi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.