Native Bible

Psalms 66:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu, nami niwaambie aliyonitendea.

Psalms 66:16 in English

Psalms 66:16 · Berean Standard Bible

Come and listen, all you who fear God, and I will declare what He has done for me.

Context

14nadhiri ambazo midomo yangu iliahidi na nilizotamka kwa kinywa changu nilipokuwa katika shida. 15Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono na sadaka za kondoo dume, nitakutolea mafahali na mbuzi. 16Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu, nami niwaambie aliyonitendea. 17Nilimlilia kwa kinywa changu, sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu. 18Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, Bwana asingekuwa amenisikiliza;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.