Native Bible

Psalms 66:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini hakika Mungu amenisikiliza na amesikia sauti yangu katika maombi.

Psalms 66:19 in English

Psalms 66:19 · Berean Standard Bible

But God has surely heard; He has attended to the sound of my prayer.

Context

17Nilimlilia kwa kinywa changu, sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu. 18Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, Bwana asingekuwa amenisikiliza; 19lakini hakika Mungu amenisikiliza na amesikia sauti yangu katika maombi. 20Sifa apewe Mungu, ambaye hakulikataa ombi langu wala kunizuilia upendo wake!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.