Native Bible

Psalms 66:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye hutawala kwa uwezo wake milele, macho yake huangalia mataifa yote: waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake.

Psalms 66:7 in English

Psalms 66:7 · Berean Standard Bible

He rules forever by His power; His eyes watch the nations. Do not let the rebellious exalt themselves. Selah

Context

5Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda, mambo ya kutisha aliyoyatenda miongoni mwa wanadamu! 6Alifanya bahari kuwa nchi kavu, wakapita kati ya maji kwa miguu, njooni, tumshangilie. 7Yeye hutawala kwa uwezo wake milele, macho yake huangalia mataifa yote: waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake. 8Enyi mataifa, msifuni Mungu wetu, sauti ya sifa yake isikike, 9ameyahifadhi maisha yetu na kuizuia miguu yetu kuteleza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.