Native Bible

Psalms 66:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alifanya bahari kuwa nchi kavu, wakapita kati ya maji kwa miguu, njooni, tumshangilie.

Psalms 66:6 in English

Psalms 66:6 · Berean Standard Bible

He turned the sea into dry land; they passed through the waters on foot; there we rejoiced in Him.

Context

4Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.” 5Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda, mambo ya kutisha aliyoyatenda miongoni mwa wanadamu! 6Alifanya bahari kuwa nchi kavu, wakapita kati ya maji kwa miguu, njooni, tumshangilie. 7Yeye hutawala kwa uwezo wake milele, macho yake huangalia mataifa yote: waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake. 8Enyi mataifa, msifuni Mungu wetu, sauti ya sifa yake isikike,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.