Native Bible

Psalms 66:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.”

Psalms 66:4 in English

Psalms 66:4 · Berean Standard Bible

All the earth bows down to You; they sing praise to You; they sing praise to Your name.” Selah

Context

2Imbeni utukufu wa jina lake; mpeni sifa zake kwa utukufu! 3Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba adui wananyenyekea mbele zako. 4Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.” 5Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda, mambo ya kutisha aliyoyatenda miongoni mwa wanadamu! 6Alifanya bahari kuwa nchi kavu, wakapita kati ya maji kwa miguu, njooni, tumshangilie.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.