Native Bible

Psalms 66:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba adui wananyenyekea mbele zako.

Psalms 66:3 in English

Psalms 66:3 · Berean Standard Bible

Say to God, “How awesome are Your deeds! So great is Your power that Your enemies cower before You.

Context

1Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote! 2Imbeni utukufu wa jina lake; mpeni sifa zake kwa utukufu! 3Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba adui wananyenyekea mbele zako. 4Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.” 5Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda, mambo ya kutisha aliyoyatenda miongoni mwa wanadamu!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.