Native Bible

Psalms 66:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote!

Psalms 66:1 in English

Psalms 66:1 · Berean Standard Bible

Make a joyful noise to God, all the earth!

Context

1Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote! 2Imbeni utukufu wa jina lake; mpeni sifa zake kwa utukufu! 3Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba adui wananyenyekea mbele zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.