Native Bible

Psalms 66:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda, mambo ya kutisha aliyoyatenda miongoni mwa wanadamu!

Psalms 66:5 in English

Psalms 66:5 · Berean Standard Bible

Come and see the works of God; how awesome are His deeds toward mankind.

Context

3Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba adui wananyenyekea mbele zako. 4Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.” 5Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda, mambo ya kutisha aliyoyatenda miongoni mwa wanadamu! 6Alifanya bahari kuwa nchi kavu, wakapita kati ya maji kwa miguu, njooni, tumshangilie. 7Yeye hutawala kwa uwezo wake milele, macho yake huangalia mataifa yote: waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.