Native Bible

Psalms 63:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mbawa zako naimba.

Psalms 63:7 in English

Psalms 63:7 · Berean Standard Bible

For You are my help; I will sing for joy in the shadow of Your wings.

Context

5Nafsi yangu itatoshelezwa kama kwa wingi wa vyakula; kwa midomo iimbayo kinywa changu kitakusifu wewe. 6Kitandani mwangu ninakukumbuka wewe, ninawaza juu yako makesha yote ya usiku. 7Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mbawa zako naimba. 8Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika. 9Wale wanaotafuta uhai wangu wataharibiwa, watakwenda chini kwenye vilindi vya dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.