Native Bible

Psalms 63:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kitandani mwangu ninakukumbuka wewe, ninawaza juu yako makesha yote ya usiku.

Psalms 63:6 in English

Psalms 63:6 · Berean Standard Bible

When I remember You on my bed, I think of You through the watches of the night.

Context

4Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu. 5Nafsi yangu itatoshelezwa kama kwa wingi wa vyakula; kwa midomo iimbayo kinywa changu kitakusifu wewe. 6Kitandani mwangu ninakukumbuka wewe, ninawaza juu yako makesha yote ya usiku. 7Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mbawa zako naimba. 8Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.