Native Bible

Psalms 63:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nafsi yangu itatoshelezwa kama kwa wingi wa vyakula; kwa midomo iimbayo kinywa changu kitakusifu wewe.

Psalms 63:5 in English

Psalms 63:5 · Berean Standard Bible

My soul is satisfied as with the richest of foods; with joyful lips my mouth will praise You.

Context

3Kwa sababu upendo wako ni bora kuliko uhai, midomo yangu itakuadhimisha. 4Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu. 5Nafsi yangu itatoshelezwa kama kwa wingi wa vyakula; kwa midomo iimbayo kinywa changu kitakusifu wewe. 6Kitandani mwangu ninakukumbuka wewe, ninawaza juu yako makesha yote ya usiku. 7Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mbawa zako naimba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.