Zaburi 63:8
Psalms 63:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika.
Psalms 63:8 in English
Psalms 63:8 · Berean Standard Bible
My soul clings to You; Your right hand upholds me.
Context
6Kitandani mwangu ninakukumbuka wewe,
ninawaza juu yako makesha yote ya usiku. 7Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu,
chini ya uvuli wa mbawa zako naimba. 8Nafsi yangu inaambatana nawe,
mkono wako wa kuume hunishika. 9Wale wanaotafuta uhai wangu wataharibiwa,
watakwenda chini kwenye vilindi vya dunia. 10Watatolewa wafe kwa upanga,
nao watakuwa chakula cha mbweha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.