Native Bible

Psalms 63:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaotafuta uhai wangu wataharibiwa, watakwenda chini kwenye vilindi vya dunia.

Psalms 63:9 in English

Psalms 63:9 · Berean Standard Bible

But those who seek my life to destroy it will go into the depths of the earth.

Context

7Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mbawa zako naimba. 8Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika. 9Wale wanaotafuta uhai wangu wataharibiwa, watakwenda chini kwenye vilindi vya dunia. 10Watatolewa wafe kwa upanga, nao watakuwa chakula cha mbweha. 11Bali mfalme atafurahi katika Mungu, wale wote waapao kwa jina la Mungu watamsifu, bali vinywa vya waongo vitanyamazishwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.