Native Bible

Psalms 63:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali mfalme atafurahi katika Mungu, wale wote waapao kwa jina la Mungu watamsifu, bali vinywa vya waongo vitanyamazishwa.

Psalms 63:11 in English

Psalms 63:11 · Berean Standard Bible

But the king will rejoice in God; all who swear by Him will exult, for the mouths of liars will be shut.

Context

9Wale wanaotafuta uhai wangu wataharibiwa, watakwenda chini kwenye vilindi vya dunia. 10Watatolewa wafe kwa upanga, nao watakuwa chakula cha mbweha. 11Bali mfalme atafurahi katika Mungu, wale wote waapao kwa jina la Mungu watamsifu, bali vinywa vya waongo vitanyamazishwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.