Native Bible

Psalms 6:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nafsi yangu ina uchungu mwingi. Mpaka lini, Ee Bwana, mpaka lini?

Psalms 6:3 in English

Psalms 6:3 · Berean Standard Bible

My soul is deeply distressed. How long, O LORD, how long?

Context

1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, wala usiniadhibu katika ghadhabu yako. 2Unirehemu Bwana, kwa maana nimedhoofika; Ee Bwana, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali. 3Nafsi yangu ina uchungu mwingi. Mpaka lini, Ee Bwana, mpaka lini? 4Geuka Ee Bwana, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako. 5Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa kuzimu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.