Native Bible

Psalms 6:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Geuka Ee Bwana, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako.

Psalms 6:4 in English

Psalms 6:4 · Berean Standard Bible

Turn, O LORD, and deliver my soul; save me because of Your loving devotion.

Context

2Unirehemu Bwana, kwa maana nimedhoofika; Ee Bwana, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali. 3Nafsi yangu ina uchungu mwingi. Mpaka lini, Ee Bwana, mpaka lini? 4Geuka Ee Bwana, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako. 5Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa kuzimu? 6Nimechakaa kwa kulia kwa huzuni; usiku kucha nafurikisha kitanda changu kwa machozi; nimelowesha viti vyangu vya fahari kwa machozi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.