Zaburi 6:2
Psalms 6:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Unirehemu Bwana, kwa maana nimedhoofika; Ee Bwana, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali.
Psalms 6:2 in English
Psalms 6:2 · Berean Standard Bible
Be merciful to me, O LORD, for I am frail; heal me, O LORD, for my bones are in agony.
Context
1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako,
wala usiniadhibu katika ghadhabu yako. 2Unirehemu Bwana,
kwa maana nimedhoofika;
Ee Bwana, uniponye,
kwa maana mifupa yangu
ina maumivu makali. 3Nafsi yangu ina uchungu mwingi.
Mpaka lini, Ee Bwana, mpaka lini? 4Geuka Ee Bwana, unikomboe,
uniokoe kwa sababu ya fadhili zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.