Native Bible

Psalms 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, wala usiniadhibu katika ghadhabu yako.

Psalms 6:1 in English

Psalms 6:1 · Berean Standard Bible

O LORD, do not rebuke me in Your anger or discipline me in Your wrath.

Context

1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, wala usiniadhibu katika ghadhabu yako. 2Unirehemu Bwana, kwa maana nimedhoofika; Ee Bwana, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali. 3Nafsi yangu ina uchungu mwingi. Mpaka lini, Ee Bwana, mpaka lini?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.