Native Bible

Psalms 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa kuzimu?

Psalms 6:5 in English

Psalms 6:5 · Berean Standard Bible

For there is no mention of You in death; who can praise You from Sheol?

Context

3Nafsi yangu ina uchungu mwingi. Mpaka lini, Ee Bwana, mpaka lini? 4Geuka Ee Bwana, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako. 5Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa kuzimu? 6Nimechakaa kwa kulia kwa huzuni; usiku kucha nafurikisha kitanda changu kwa machozi; nimelowesha viti vyangu vya fahari kwa machozi. 7Macho yangu yamedhoofika kwa kuhuzunika, yamedhoofika kwa sababu ya adui zangu wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.